Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakimkabidhi mashine
ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine) Ichaji
wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota
Ndendeje (mwenye nguo nyeupe) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika
Wodi ya Watoto Hospitalini hapo juzi. Vifaa vingine vilivyokabidhiwa ni
ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto,
mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital
thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds,
miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto
wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na
chama. Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam
wakimkabidhi baadhi ya misaada Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya
Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (katikati) walipotembelea
wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili
juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia
mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa
ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya
kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer
14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za
miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi
nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakibeba ma boksi ya
seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito kwa ajili ya kuwagawia
wajawazito wanaopokelewa katika Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza,
Parestina walipotembelea hospitali hiyo juzi. Jumla ya Seti 100 za vifaa
hivyo vilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara
jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika. Mkuu
wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia)
akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia
alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi
jijini Dar es Salaam Meneja
Bidhaa wa Benki ya NMB, Beatrice Mwambije akimkabidhi mmoja wa
wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi
katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam. Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara (kulia) jijini Dar
es Salaam wakikabidhi seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito
walipotembelea Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina juzi Dar es
Salaam. Mkuu
wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia)
akipokea neno la shukrani toka kwa mmoja wa wagonjwa katika Hospitali ya
Sinza, Parestina mara baada ya kutoa misaada. Mkuu
wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (wa tatu
kushoto) akikabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina,
Bi. Agness Mgaya (kulia) baadhi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa
wajawazito. Katikati akishukuru ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza,
Dk. Kayola Chrispin. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na
Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na
kugawiwa kwa wahusika. Mkuu
wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia)
akikabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi. Agness
Mgaya (kushoto) baadhi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa
wajawazito. Katikati akishuhudia ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya
Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa
na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam
na kugawiwa kwa wahusika. Mkuu
wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia)
akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin
(wa pili kulia mbele) sehemu ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa
wajawazito. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi
wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa
kwa wahusika. Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakiwa wamebeba
sehemu ya misaada waliotoa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa
Muhimbili. Ichaji
wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota
Ndendeje (kulia) akiwashukuru sehemu ya wafanyakazi wa Benki ya NMB
Kitengo cha Hazina mara baada ya kukabidhi misaada na zawadi kwa
wagonjwa walipotembelea wodi hiyo. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni
pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri
(Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo
na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer
machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline,
cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa
kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice,
biscuits na chama. Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam
wakikabidhi baadhi ya misaada kwa Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali
ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje walipotembelea wagonjwa
waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina waliotembelea
wagonjwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili na kutoa
misaada na zawadi kwa wagonjwa katika picha ya pamoja na vifaa vyao Mmoja
wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina (kushoto)
akiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika
Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Mmoja
wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina akiwakabidhi zawadi
mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto
Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni
pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri
(Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo
na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer
machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline,
cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa
kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice,
biscuits na chama. Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina (kulia) wakiwakabidhi
zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya
Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada
iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua
vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya
masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu
(Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya
vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa
za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi,
juice, biscuits na chama. Mmoja
wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina akisalimiana na
baadhi ya watoto wanaotibiwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya
Taifa Muhimbili juzi walipotembelea wagonjwa hospitalini hapo.