SPIKA WA BUNGE ALIPOSHIRIKI MISA TAKATIFU YA MASIFU NA MAZISHI YA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO LA DODOMA.

April 20, 2016

spi1
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwasili katika kanisa kuu katoliki Jimbo la DodomaKushiriki misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph.
spi2
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiteta jambo na Mweyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva wakati wa  misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.
spi3
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim ,Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na Mweyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva wakishiriki misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.
spi4

spi5
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akitoa salamu za rambirambi  wakati wa  misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »