Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto akiongea na Balozi wa Norway
nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad wakati wa Kikao kilichofanyika
Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea
kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na
Michezo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Mmoja wa Maofisa kutoka Ubalozi
wa Norway nchini Tanzania kushoto akiongea na Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye wakati wa wa Kikao
kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi
kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni,
Sanaa na Michezo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Balozi wa Norway nchini Tanzania
Hanne-Marie Kaarstad kulia akiongea na Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto wakati wa Kikao kilichofanyika
Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea
kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na
Michezo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).