MKUTANO WA KAMPENI ZA MH. LOWASSA, SUMBAWAGA MKOANI RUKWA LEO

September 03, 2015

Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mkoani Rukwa, wakiishangilia Ndege iliyombeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili Uwanjani hapo, leo Sepremba 2, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, RUKWA.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Ikuo Malila, baada ya kuwasilini kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa, leo Sepremba 2, 2015.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »