MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO YA WAWAKILISHI WA KAMATI YA KUDUMU YA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA WATAALAMU WA HAKI NA SHERIA, JIJINI ARUSHA.

September 03, 2015

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya
  Umoja wa Afrika( AU) wakati alipokuwa
akiwasili kwenye Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa

Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa
Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye
Hoteli hiyo uliokuwa ukijadili kuhusu
 kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi. Wa
tatu (kulia) ni Jaji Mkuu Mstaafu
 Agustino Ramadhan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa
  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala
ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu
 kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati akihutubia.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati akihutubia.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)
akiteta jambo na Rais wa Mahakama ya Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan,
wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa
  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu
 kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)
akikabidhiwa zawadi na Rais wa Mahakama Afrika Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan,
wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa
  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu
 kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais
wa Mahakama ya Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhan,
wakisalimiana na baadhi ya washiriki wa mkutano huo baada ya kufunguliwa rasmi
jana jijini Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa
Mahakama Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan, wakiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka mataifa mbalimbali ya
Afrika baada ya ufunguzi jana jijini Arusha.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal (kulia) na Rais wa Mahakama Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »