Mama Samia aiteka Dodoma

September 03, 2015

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini Septemba 2, 2015. Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa  kampeni za CCM Dodoma mjini Septemba 2, 2015.
Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo Dodoma mjini Septemba 2, 2015.
Mgombea wa ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini Septemba 2, 2015.
 Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 2, 2015.
Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika Septemba 2, 2015.
Wagombea Ubunge Livingstone Lusinde (Mtera) ma Mavunde (Dodoma mjini) wakishiriki kucheza muziki jukwani wakai wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini leo na kuhutubiwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan
Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini Mavunde akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa wakati wa mkutano wa kampeii za CCm uliofanyika Dodoma mjini Septemba 2, 2015.
Wagombea Udiwani Dodoma mjini wakiwa  kwenye mkutano wa kampeniwa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia uliofanyika Septemba 2, 2015.
 
Mgombea Ubunge Dodoma mjini, Mavunde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini Septemba 2, 2015.
Kinkundi cha Hapa Kazi kutoka Tanga wakitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo, jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma
Mgombea Ubunge Jimbo la Kibakwe , Dk. Simba Chawene akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia (kushoto) akishuhudia burudani iliyokuwa ikitolewa na Kundi la Hapa Kazi, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika, jimbo la Kibakwe mkoani dodoma.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Kibakwe mkoani dodoma.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kibakwe, Dk. Simba Chawene katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo leo. Kushoto ni Mama Mariam Simbachawene.
Msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia ukiwa umeuziwa na wananchi wakati akienda jimbo la Mtera.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,  akimnadi Mgombea Ubunge wa Ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo.
Mgombea Mwenza wa Urais tikati ya CCM, Mama Samia akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mtera katika mkutnao wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo
Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtera.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »