Katibu tawala mkoa wa Rukwa, Bw
Smythies Pangisa (kulia), akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya
uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto
ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati
ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.
Meneja wa operesheni kwa wateja
Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni
rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi
watakavyo hudumia wateja, mara baada ya uzinduzi wa duka la Tigo
lililopo mtaa wa Sokomatola ,Sumbawanga mjini.
Wafanyakazi wa duka jipya la Tigo
lililopo Sumbawanga mjini wakipozi kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi
(mstari wa mbele katikati) ndugu Smythies Pangisa ambaye ni Katibu
tawala mkoa wa Rukwa, muda mfupi baada ya hafla fupi ya uzinduzi wa duka
la Tigo Sumbawanga Mjini.