BIASHARA SAMAKI, MOSHI

August 14, 2015


 WAFANYABIASHARA WAJASIRIAMALI wanawake soko la Manyema manispaa  ya mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro wakipaa samaki aina ya Sato ambao huvuliwa katika bwawa la Nyumba ya Mungu. Ndoo moja kwa bei ya jumla  ya samaki aina ya Sato huuzwa kwa shilingi 20,000,PICHA ZOTE NA SALIMU MOHAMED WA TANGAKUMEKUCHA




Share this

Related Posts

Previous
Next Post »