March 01, 2014

Wananchi wa Wakijitokeza katika Zoezi la Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa

Wananchi wa maeneo ya Mtoni wakijitikeza katika zoezi la Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa, katika viwanja vya Skuli ya Mto Pepo Wilaya ya Magharibi Unguja.zoezi hilo linafanyika kwa nchi nzima kuandikishwa Wananchi ili kuweza kupata Vitambulisho hivyo
          Wananchi wa kiwa katika viwanja vya Skuli ya Mto Pepo wakijiandikisha Vitambulisho vya Taifa.
Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Tanzania akitaja majina ya Wananchi waliokuwa tayari wameshafanyiwa usaili na kufuata hatua nyengine ya upigaji picha.
                     Mwananchi akikamilisha taratibu za usajili kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa.

Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa akitaja majina ya Wananchi waliokamilisha kujaza fomu na kuchukua hatua ya upigaji wa picha ya kitambulisho.
                     Afisa wa Vitambulisho Taifa akijaza fomu ya mmoja wa Wananchi katika hatua ya picha.

Wananchi wakhojiwa na Makarani wa Vitambulisho wakijaza Fomu za Vitambulisho vya Taifa waliofika katika skuli ya MtoPepo Chumbuni. 

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »