March 11, 2014

SHEREHE ZA WANAWAKE ZAFANA DAR

mamaaaa shuguli mwenyewe
Shamim akiongea jambo
Mgeni rasmi  wa shughuli ,
mke wa makamo wa Rais wa jamhuri wa Muungano
 wa Tanzania
Mama Asha Bilali

wadada walivinyuka


mamaaa Khadija Kopa
akiwarusha rusha watu
haswa wenye mili yao atii


kwa kweli ilinoga sanaaaaa

waliokuwa wana magaga walisuguliwa haswaaa

one n only Dj Dj in town
Peter Moe


Ilikuwa zaidi ya shughuli hongera sana mama Iqra kwa kazi nzuri sana pamoja na team yako..... Mungu akituujalia tukutane tena next year.... weoutcheaaa 

photos thx to Othman Michuzi

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »