Naibu Waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akizungumza na viongozi
wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma
kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo Kushoto ni
Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.
Hassan Abbasi.
Meneja Huduma kutoka Tanzania
Media Fund (TMF) Bw. Alex Kanyambo akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (hayupo
pichani) wakati viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea
Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo
Taasisi hiyo.
Mtendaji Mkuu wa Tanzania Media
Fund (TMF) Bw. Alex Kanyambo(kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (hayupo
pichani) wakati viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea
Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo
Taasisi hiyo.
Mtendaji Mkuu wa Tanzania Media
Fund (TMF) Bw. Alex Kanyambo(kushoto) akijadilana jambo na Naibu Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(katikati)
pamoja na Mkurugenzi Idara ya Hbabari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa
Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) wakati viongozi wa Tanzania Media
Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala
mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini
kwake Mjini Dodoma wa pili kulia ni Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO
na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.
Picha zote na Octavian Kimario MAELEZO DODOMA
EmoticonEmoticon