Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Rwanda
alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili leo Alhamisi April 7,
2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange huku Inspekta jenerali wa Polisi IGP Ernest
Mangu akisubiri zamu yake mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini
Rwanda alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili leo Alhamisi April
7, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Kamanda wa Polisi
Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Simon Sirro mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam akitokea nchini Rwanda alikokuwa katika ziara ya kikazi ya
siku mbili leo Alhamisi April 7, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Msajili wa vyama
vya Siasa Mhe Jaji Francis Mutungi mara baada ya kutua katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
nchini Rwanda alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili leo
Alhamisi April 7, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakiongozana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es salaam Mhe Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini
Rwanda alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili leo Alhamisi April
7, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, Waziri wa Mambo ya Nje, Kikanda na Kimataifa Dkt
Augustine Mahiga na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam akitokea nchini Rwanda alikokuwa katika ziara ya
kikazi ya siku mbili leo Alhamisi April 7, 2016.