Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue akizungumza na waaandishi wa vyombo vya habari wakati wa
hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wastaafu waliomaliza muda wao wa
Utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria. Hafla hiyo ilifanyika katika
Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini
Dar es Salaam.
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA-MAELEZO DAR ES SALAAM
Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel
akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth
Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga
Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa
Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro
jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa Umma aliyewahi kuwa
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu
wa sheria , Bi. Rose Lugembe wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara
mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo
ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba
9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa Umma aliyewahi kuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, ambaye amestaafu
aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bw. Mohamed Muya wakati wa kuwaaga
Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa
Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro
jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa Umma aliyewahi kuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu
wa sheria , Mhandisi Christopher Sayi wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu
wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla
hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa
Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa Umma aliyewahi kuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, ambaye
amestaafu aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bw. Seth Kamuhanda wakati
wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa
Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency
Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.