Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza kabla ya Kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa
Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa
kwenye Vituo vya Kutolea Huduma nchini. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye
Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za
Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea
Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017.
Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI, George
Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Mrekani nchini, Bi.
Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Wapili
kushotoni ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na watatu
kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifurahia baada ya kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa
Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa
kwenye Vituo vya Kutolea Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini
Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais
TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa
Mrekani nchini, Bi. Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama, Wapili kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip
Mpango na watatu kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa
Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na
Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozindua mfumo huo
kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na Watalaam wlioandaa Mfumo wa Kuandaa Mpango na
Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji
Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma baada ya kuzindua mfumo huo
kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Geotge Simbachawene na kushoto
kwake ni Kaimu Balozi wa marekani Nchini, Bi. Inmi Pattersson. Aliyekaa
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye
ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017 Kuzindua Mfumo wa Kuandaa
Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na
Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma . Wapili kulia ni Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na wapili kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini,
Bi. Inmi Patterson akizungumza katika Uzinduzi wa Mfumo wa Kuandaa
Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na
Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma
uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
TAMISEMI, George Simbachawene akizungumza katika Uzinduzi wa Mfumo wa
Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa
Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma
uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
EmoticonEmoticon