Baadhi ya wanakamati ya sherehe hiyo wakipata kumbukizi ukumbini[/caption] [caption id="attachment_76348" align="aligncenter" width="800"] Mwakilishi wa Kamati ndogo ya maandalizi ya harusi kutoka Moshi, Kilimanjaro ikizungumza kutoa shukrani kwa Kamati Kubwa ya Maandalizi (hawapo pichani) ya jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_76347" align="aligncenter" width="800"] Wanajumuiya kutoka Goba wakiwapongeza maharusi ukumbini...![/caption] [caption id="attachment_76351" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Kamati ya vinywaji (kulia) pamoja na mjumbe wake wakipata picha ya kumbukumbu...![/caption] [caption id="attachment_76346" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi (kulia) pamoja na mkewe wakielekea kutoa zawadi maalumu kwa maharusi.[/caption] [caption id="attachment_76338" align="aligncenter" width="800"] Maharusi Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata (katikati) wakiwa pamoja na wapambe wao ukumbini.[/caption] [caption id="attachment_76340" align="aligncenter" width="1000"] Ndugu, jamaa na wageni wa maharusi wajumuika katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall'.[/caption] [caption id="attachment_76342" align="aligncenter" width="800"] Bwana harusi Louis Munishi (kulia) 'akimng'ata' sikio mpambe wake ukumbini.[/caption] [caption id="attachment_76341" align="aligncenter" width="800"] Burudani ya muziki ikitamalaki kwa wageni waalikwa...![/caption] [caption id="attachment_76344" align="aligncenter" width="800"] Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akitoa neno kwa mwanae pamoja na mkewe ukumbini.[/caption] ___________________________________________________________________________________ Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com. Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470 Web:- www.thehabari.com http://joemushi.blogspot.com
Harusi ya Bw. Louis Munishi

EmoticonEmoticon