Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia)akijumuika na
Viongizi na Waislamu katika kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Kusini Pemba Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo katika msikiti wa
Khinani,Wilaya ya Magharibi 'A'Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.
Maelfu
ya wananchi na waislamu waliobeba jeneza la Marehemu Abdalla Mohamed
Mshindo katika mazishi yake yaliyofanyika leo kijiji cha Kihinani Wilaya
ya Magharibi 'A'Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto)akitia
udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo aliyekuwa
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika mazishi yaliyofanyika leo
Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A',Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji
Ussi (Gavu) akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed
Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika
mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja.
Mwenyekiti
wa CCM MKoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Haji Juma Haji akitia udongo katika
kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani
Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe,Balozi Sif Ali Iddi(katikati)pamoja na wananchi na wanaCCM
wakiitkiia dua iliyoombwa baada ya mazishi ya Marehemu Abdalla Mohamed
Mshindo aliyekuwa wenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba yaliyofanyika
leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiwapa
pole familia ya Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo
Kihinani Wilaya ya Magharibi'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Picha na
Ikulu.