MKUTANO WA UIMARISHAJI NA UHAKIKI WA MIPAKA KATI YA TANZANIA NA KENYA

September 16, 2015

1
Mkurugenzi Idara ya upimaji na Ramani Justo Lyamuya, Mkurugenzi wa Nyumba Charles Mafuru kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Barozi wa Kenya nchini Tanzania Chirua Ali wakiwa katika kikao hicho.
2
Wajumbe kutoka Tanzania na Kenya wakiwa katika kikao hicho.
4
Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakiwa katika kikao hicho.
5
Baadhi ya wajumbe kutoka Kenya wakiwa katika kikao hicho.
3
Washiriki wa mkutano wakiwa katika picha ya pamoja, hoteli ya  Kilimanjaro jijini Dar es salaam.
Picha zote na Hassan mabuye
……………………………………………
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inafanya mkutano wa siku tano kati ya Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Kenya ili kuimarisha na kuhakiki mipaka kati ya nchi hizo. Kikao hicho cha wajumbe maalumu kutoka nchi hizo mbili kinafanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 14 hadi 18 septemba 2015.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »