TASWIRA YA SOKO KUU LA MASUGURU KATA YA GENGE WILAYANI MUHEZA

May 30, 2015


  WAFANYABIASHARA soko kuu la Masuguru kata ya Genge Wilayani Muheza Mkoani Tanga, wakisubiri wateja kununua bidhaa zao. Wafanyabiashara hao kwa muda mrefu wamekuwa wakiomba halmashauri ya Wilaya kuwajengea vizimba ili kuepuka adha  ya jua na mvua pamoja na mazingira ya kiafya.







Mfanyabiashara soko kuu la Masuguru kata ya Genge Wilayani Muheza Mkoani Tanga, Mwanahamisi Kipingu akipaa majimbi. Fungu moja la majimbi lilikuwa linauzwa kati ya  shilingi 2,000 hadi 2,500.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »