Waziri Mkuu Mizengo Pinda-AFUNGA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE KATIKA VIWANJA VYA JOHN MWAKANGALE JIJINI MBEYA

August 09, 2015

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wakulima na wananchi wa  mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 ,2015 . Picha Jamiimojablog.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza katika sherehe hizo za wakulima Nanenane Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
wananchi na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani)  wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 mwaka huu.
Waandishi wa habari wakiwa kazini

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »