UZINDUZI MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA PEMBA

August 26, 2015


 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji (ZAWA) dkt.Nustafa Ali Garu akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki yaMaendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba 
 Wanafunzi wa Skuli Sekondari na msingi katika Wilaya ya Wete wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba
 Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walioungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) wakiangalia ratiba ya sherehe hiyo 
 Baadhi ya Viongozi mbali mbali  na wageni wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake leo katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)
 Baadhi ya Viongozi na Maafisa mbali mbali  wa Idara za Serikali  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipkuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)

  Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji wakijipanga wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »