Mkurugenzi
Mkuu wa VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo
alizindua Huduma ya M-PAWA leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa
Huduma ya kampuni ya simu ya VODACOM iitwayo M-PAWA itakayowawezesha
watumiaji kutuma na kupokea pesa kwa urahisi zaidi na pia kupata mikopo
ya pesa kwa matumizi mbalimbali.Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika katika
ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo.
Baadhi
ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Huma ya-M-PAWA ya
kampuni ya simu ya VODACOM wakisikiliza kwa makini hotuba ya uzinduzi
iliyotolewa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete katika ukumbi wa Mlimani
City jijini Dar es Salaam leo.
Wasanii waionesha mabango wakati wa uzinduzi wa huduma ya M-PAWA(picha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon