Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiongozana
na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO)
Raymond Benjamin baada ya kuwasilia katika Uwanja wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ziara ya kikazi nchini kuanzia
leo tarehe 14n hadi 18 Mei 2014. Tanzania ni moja ya nchi mbili ikiwemo
Ethiopia atakazotembelea katika Kanda ya ICAO .
Waziri
wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Katibu Mkuu wa
Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin( Kulia)
baada ya kuwasilia katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam, kwa ziara ya Kiakazi hapa nchini.
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe wapili
kutoka kushoto akiongea wakati alipokuwa akimkalibisha Katibu Mkuu wa
Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond
Benjamin watatu kutoka (kushoto)baada ya kuwasilia katika Uwanja wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ziara ya
kikazi nchini kuanzia leo tarehe 14n hadi 18 Mei 2014. Tanzania ni
moja ya nchi mbili ikiwemo Ethiopia atakazotembelea katika Kanda ya ICAO
.
Katibu
Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond
Benjamin wa tatu kutoka (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri
wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe na Viongozi mbalimbali wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania.
EmoticonEmoticon