|
Meneja wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya kaskazini,Salvator Rweyemamu
(kulia) akimkabidhi mkataba wa kukabidhiana majengo ya TBL yaliyopo
Moshi, kwa Katibu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT), Dayosisi Kanda ya
Kaskazini, Julius Mosi, katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki
Moshi, mkoani Kilimanjaro. Majengo hayo yatakayotumika kwa ajili ya Chuo
Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano
SMMUCO) yalikuwa ya Kiwanda cha Bia cha Kibo kilichonunuliwa na TBL. |
|
Katibu
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Kanda ya
Kaskazini, Julius Mosi akikabidhi mkataba kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Kumbukumbu ya Stephano (SMMUCO) Prof,Arnod Temu kwa ajili ya
kutmiwa na chuo hicho chini ya
dayosisi hiyo iliyokabidhiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika
hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki Moshi, mkoani Kilimanjaro.Awali
majengo hayo yalikuwa ya Kiwanda cha
Bia cha Kibo kilichonunuliwa na TBL. |
|
Baadhi ya majengo yaliyokabidhiwa |
|
Meneja
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya kaskazini,Salvator Rweyemamu,
AKIELEZEA SABABAU ZA TBL kukabidhi majengo hayo kwa chuo hicho |
|
Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano (SMMUCO) Prof,Arnod Temu akitoa shukurani kwa TBL |
|
BAADHI YA WANANCHI WALIOHUDHURIA SHEREHE HIYO |
|
Viongozi wa TBL, dAYOSISI NA cHUO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
|
Ndani ya moja ya majengo hayo |
|
Sehemu ya ndani ya moja ya majengo hayo |
Viongozi wa TBL pamoja na viongozi wa chuo hicho wakitembelea maeneo
mbalimbali ya chuo hicho kujionea hali ilivyo kwa sasa.PICHA NA MDAU DICKSON BUSAGAGA
Share this