MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO

September 01, 2017
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga (CCM) Alhaji Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji akipitia kabrasha kushoto ni Naibu Meya wa Jiji hilo,Mohamed Haniu ambapo Meya huyo aliwataka madiwani kuheshimu taratibu za vikao.
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji akizungumza wakati wa kikao hicho kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo,Alhaj Mustapha Selebosi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa
Naibu Meya wa Jiji la Tanga,Mohamed Haniu akizungumza wakati wa kikao hicho kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo(CCM) Alhaj  Mustapha Selebosi kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa kikao hicho.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza wakati wa kikao hichi Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
Waheshimiwa madiwani kutoka kata mbalimbali wakifuatilia hoja mbalimbali kwenye kikao hicho
Wataalamu kutoka idara mbalimbali katika Halamshauri ya Jiji la Tanga wakifuatilia kwa umakini kikao hicho
Wakuu wa Idara mbalimbali wakifuatilia kwa umakini katika kikao hicho katika ni Mchumi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
Waheshimiwaa madiwani wakifuatilia kikao hicho kulia ni diwani wa kata ya Central Khalid Mohamed
Waheshimiwaa madiwani wakifuatilia kikao hicho
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku katikati akifuatilia taarifa mbalimbali kwenye kikao hicho kulia ni Naibu Meya wa Jiji la Tanga (CUF) Mohamed Haniu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga,Kassim Mbuguni
 Meneja wa Kituo cha Television ya Jiji la Tanga TATV Mussa Labani akifuatilia kikao hicho
Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali wakifuatilia kikao hicho kulia ni Dege Masoli wa Nipashe Tanga,Mbaruku Yusuph wa Tanzania Daima kushoto

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »