Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa
Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia
maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika
Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa
Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia
maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika
Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mrisho Sarakikya wa kwanza kushoto pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza kuhusu kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo
akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo
Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wanne kutoka kushoto Jenerali Mstaafu Davis
Mwamunyange wanne kutoka kulia Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali
Mwakibolwa watatu kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja na Wakuu wa Kamandi na
machifu wa Makao makuu ya Jeshi hilo. PICHA NA MPIGA PICHA WETU
EmoticonEmoticon