Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Mwanachuo wa Chuo cha DIT, Grolia Shoo kuhusu
Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Momba zinazojengwa na Shirika la Taifa la Nyumba katika eneo la Chitete
wialyani Momba Julai 21, 2017. Gloria anafanya kazi kwa muda
akijifunza katika shirika hilo. Kushoto kwake ni mkewe Mary na wapili
kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC,
Blandina Nyoni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba 20 za watumishi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Momba katika eneo la Chitete akiwa katika
ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. Wapili kulia ni mkewe Mary na
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. Kulia kwa Waziri Mkuu ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linalojenga
nyumba hizo, Blandina Nyoni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon