HAFLA YA TGGA KUWAAGA GIRL GUIES WA RWANDA, UGANDA NA MADAGASCAR

July 21, 2017
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi  zawadi Girl Guides kutoka Uganda, Rachel Baganyire wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni, maadili na uongozi. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi  zawadi Girl Guides kutoka Madagascar, Andriambolamanana Vahatrimama wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni na uongozi.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi  zawadi Girl Guides kutoka Rwanda, Michelline Uwiringiyimana wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni na uongozi.
 Vingozi wa TGGA wakiwa katika picha ya pamoja Girl Guides wanaoagwa
Girl Guides waliokuwa katika mafunzo ya uongozi, maadili na utamadun walioagwa; Wasichana hao ni; Michelline Uwiringiyimana (Rwanda), kulia, Recheal Baganyire (Uganda),kushoto, na Andriambolamanana Vahatrimama.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Grace Makenya akizungumza wakati wa hafla hiyo.
 Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba akizungumza wakati wa kuanza kwa hafla hiyo ambapo alianza kwa kuwatambulisha viongozi wa TGGA. Kulia ni Kamishna wa TGGA Makao Makuu, Rose Majuva.
 Kiongozi wa Girl Guides Mkoa wa Dar es Salaam, Ruth akitambulishwa wakati wa hafla hiyo..
Dereva wa TGGA, Juma akitambulishwa
Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (wa pili kushoto) akiwa katika hafla hiyo
Recheal Baganyire Girl Guides kutoka Uganda
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Zakia Meghji akizungumza na Recheal Baganyire Girl Guides kutoka Uganda
Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi akizungumza wakati wa hafla hiyo
Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Martha Qorro akitoa nasaha kwa Guides wakati wa hafla hiyo
Andriambolamanana Vahatrimama.
Michelline Uwiringiyimana (Rwanda)
Michelline Uwiringiyimana (Rwanda), akitoa shukrani kwa TGGA kwa kuwalea kwa muda wote wa miezi sita na kwamba wamejifunza mambo mengi watakayokwenda kufundisha kwao.
Mkufunzi wa TGGA Makao Makuu akizungumza alipotambulishwa
Kamishna Mkuu wa TGGA Makao Makuu, Rose Majuva akizungumza alipotambulishwa
Kiongozi wa Girl Guides TGGA Makao Makuu, Valentina (katikati) akijadiliana jambo na Michelline Uwiringiyimana (Rwanda) pamoja na Andriambolamanana Vahatrimama.
Kiongozi wa TGGA Makao Makuu, Rehema Kijazi (kulia) akiwa na Mhasibu wa chama hicho
Sasa ni wakati wa misosi
Ni misosi kwa kwenda mbele

Anna Abdalah akitoa nasaha kwa Girl Guides wanaoagwa kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata nchini na kwenda kufundisha wenzao katika nchi zao.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Grace Makenya naye akitoa nasaha zake
Girl Guides wanaoagwa wakiwa katika picha ya pmoja na viongozi wa TGGA


Kamishna Mkuu wa TGGA, Hangi akiwa katika picha na Girl Guides wanaoagwa

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »