| Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akivalishwa skafu baada ya kuwasili makao makuu ya chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Tanga wakati wa ziara yake |
| Hapa wakikagua gwaride hilo kabla ya kuanza kikao cha pamoja |
| Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Tanga,Abdi Makange akizungumza neno kabla ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka kushoto ambaye yupo kwenye ziara ya kikazi mkoani hapa |
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza na vijana wa Jumuiya wa Umoja huo mkoani Tanga leo kwenye ukumbi wa CCM uliopo barabara 20 mjini Tanga.
| BAADHI YA WANACHAMA WA JUMUIA YA UMOJA WA VIJANA MKOANI TANGA WAKIMFUATILIA KWA UMAKINI KAIMU KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA |
EmoticonEmoticon