![]() |
Peace Proscovia akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Tanzania Bara |
![]() |
Mchezaji wa Tanzania, Sofia Komba akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Uganda |
![]() |
Mwanaidi Hassan wa Tanzania Bara akidaka mpira pembeni ya wachezaji w Uganda |
![]() |
Mwanaidi kulia na mchezaji wa Uganda |
![]() |
Sofia Komba alicheza sana leo kujibu mapigo ya mpenzi wake, Joseph Owino aliyeifungia Simba SC bao jana katika ushindi wa 2-0 kwenye soka dhidi ya URA |
EmoticonEmoticon