*SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI MAATUKUFU YA ZANZIBAR ZAFANA.
 Askari
 wa zamani wanaoigiza gwaride la enzi za ukoloni, 'Tarabush' wakipita 
mbele ya jukwaa kuu na kuonyesha jinsi askari hao walivyokuwa wakicheza 
gwaride hilo, wakati waa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi
 matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Amani mjini 
Zanzibar.
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed
 Ali Shein, akipunga mkono kusalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili
 kwenye Uwanja wa Amani katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya 
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo mchana.
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed
 Ali Shein, akikagua gwaride maalum la sherehe za maadhimisho ya miaka 
50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo mchana.
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed
 Ali Shein, akikagua gwaride maalum la sherehe za maadhimisho ya miaka 
50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo mchana.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal 
na mkewe Mama Zakia Bilal, wakisalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi
 na usalama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Amani, kwa ajili ya 
kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya 
Zanzibar, mjini yaliyofanyika leo.
 Wimbo wa Taifa....
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali 
Mohamed Shein, akisalimiana na baadhi ya viongozi waalikwa katika 
sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, 
wakati alipokuwa akiwasili uwanja wa Amani leo mchana.
 Viongozi
 wa Serikali na viongozi waalikwa, wakisimama wakati wimbo wa Taifa 
ukipigwa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu
 ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar leo.
 Watoto wa halaiki wakionyesha umahiri wa kupanda Baiskeli, ambapo jumla ya watot 10 waliweza kupanda baiskeli hiyo









EmoticonEmoticon