Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland
Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya kuwasili
kanisani hapo kwa ajili ya Ibada ya Siku ya Pasaka.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika wa Kanisa la Afrika Inland Church
Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
waumini wa Kanisa hilo la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini
Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.

waumini wa Kanisa hilo la la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini
Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.
Wanakwaya
katika Kanisa hilo wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya Ibada
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimshukuru Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church
Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya kuzungumza Kanisani
hapo.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia waumini Kanisani (AIC-Magomeni ) mara baada ya
Ibada ya Pasaka.
Baba
Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles
Salala akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni
jijini Dar es Salaam.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu
Charles Salala mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Baba
Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles
Salala wakati akiondoka Kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Paroko ya Oysterbay Dkt . Adelhelm Meru wakisali baada ya kupokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa
la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es alaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka nje na muumini kijana baada ya kuhudhuria ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na mmoja wa watawa baada ya kuhudhuria ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon