WAKUU
wa Mikoa na Wilaya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,wakati
alipokutana nao Ikulu Zanzibar.(Picha na Othman Maulid)
KATIBU
Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, akizungumza wakati wa Mkutano
huo na Wakuu wa Mikoa na Wilaya walipokutana na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu
Zanzibar.(Picha na Othman Maulid
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wa Zanzibar, wakati alipokutana
nao Ikulu Zanzibar leo 25/102014.(Picha na Othman Maulid)
EmoticonEmoticon