Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi chama cha Mapinduzi Taifa CCM,Abdallah Bulembo akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego wakati wa sherehe za kilele cha wiki ya wazazi ambapo kitaifa ilifanyika mkoani Tanga,anayeshuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Tanga,Komrade Kassim Mbuguni. Picha na Mwandishi wetu.
Share this
EmoticonEmoticon