Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akikata keki ya mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Bagamoyo
yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
leo Disemba 7-2013, kulia Mkuu wa Chuo hicho Petired Bishop Elinasa
Sendoro, kushoto Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Costa Ricky Mahalu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia kwenye mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Bagamoyo
yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
leo Disemba 7-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo Petired Bishop Elinasa Sendoro wakati wa mahafali ya kwanza ya Chuo hicho yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam leo Disemba 7-2013.
Sehemu
ya wahitimu wa ngazi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo wakati wa
mahafali ya kwanza ya chuo hicho yaliyofanyika kwenye ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam leo Disemba 7-2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa ngazi
mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo wakati wa mahafali ya kwanza ya
chuo hicho yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar
es salaam leo Disemba 7-2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo Petired Bishop
Elinasa Sendoro kulia na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Costa Ricky Mahalu
katikati, wakati wa mahafali ya kwanza ya Chuo hicho yaliyofanyika
kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam leo Disemba
7-2013.
EmoticonEmoticon