Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumza katika baraza hilo kushoto ni Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa. |
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akilakiwa na waumini wa dini ya kiislamu wakati akipokwenda kwenye baraza la Eid ambalo lilifanyika katika shule ya Sekondari Jumuiya
Waziri wa nchi ofisi ya
Makamu wa Rais Mazingira January Makamba akilakiwa na waumini wa dini hiyo wakati alipokwenda kwenye Baraza la Iddi ambalo lilifanyika katika shule ya sekondari Jumuiya
Meza kuu wakifuatilia matukio mbalimbali katika Baraza hilo
Sehemu ya waumini wakimsikiliza Waziri Makamba kwenye Baraza hilo leo
Sehemu ya waumini wakimsikiliza Waziri Makamba kwenye Baraza hilo leo
Sehemu ya waumini wakimsikiliza Waziri Makamba kwenye Baraza hilo leo
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba kulia akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
EmoticonEmoticon