Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na
Viongozi wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini
Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu njema baada ya kumalizika kwa
Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pampja na
Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika
Ikulu Mjini Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu njema baada ya
kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,wakiitikia Dua
Iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibae Sheikh Saleh Omar Kabi,(wa pili
kushoto),[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pampja na
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiaagana na Viongozi
mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu
Mjini Unguja leo baada ya kutakiana Kheri katika Sikukuu ya Eid El
Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akisalimiana na Mjukuu wake Ali Abdalla Mitawi katika
Kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akifanya mahojiano na Watoto Nabil Mohamed Said na
Ahmed Mohamed Said (kushoto) waliofika Ikulu Mjini Unguja kutoka
Shirika la Utangazaji ZBC kwa ajili ya kutayarisha Kipindi cha Watoto
sambamba na Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Baadhi ya Akinamama na Watoto
waliofika katika viwaja vya Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kusalimiana
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) na Kupokea Mkono wa Eid katika
kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto)alipokuwa akitoa Sikukuu kwa Mzee Juma Kesi (kulia)
alipojumuika na Wazee mbali mbali waliofika katika viwanja vya Ikulu
Mjini Unguja kupokea mkono Eid el Fitri katika kusherehekea Sikukuu ya
Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa
akitoa Sikukuu kwa Mzee Salum Othman Haji (kulia) alipojumuika na Wazee
mbali mbali waliofika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja kupokea
mkono Eid el Fitri katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri
iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa
akitoa Sikukuu kwa Mtoto Othman Khamis (mwenye ulemavu) alipojumuika na
Wazee mbali mbali na Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Mjini
Unguja kupokea mkono Eid el Fitri katika kusherehekea Sikukuu ya Eid
el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu
wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
EmoticonEmoticon