Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari
Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
baadhi
ya wapigapicha wakichukua matukio katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipoongea na Wahariri,
Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini
Dar es salaam Novemba 4,2016
Mkurugenzi
wa Azam Media Tido Muhando akiuliza swali Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri,
Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini
Dar es salaam Novemba 4,2016
Mwandishi
wa habati wa Shirika la utangazaji BBC Sammy Awami akiuliza swali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo
mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Mhariri
mtendaji wa magazeti ya Serikali (TSN) Dr. Jim Yonazi akiuliza swali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo
mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya pamoja na msanii wa Mrisho Mpoto mara baada ya kuongea na
Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu
jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo
mbalimbali baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa
Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

mbalimbali kutoka nje ya Tanzania baada ya kuongea na Wahariri,
Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini
Dar es salaam Novemba 4,2016
Chanzo:Blog ya Ikulu
EmoticonEmoticon