Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika Ndege ya
Shirika la Ndege la AIR Tanzania mada baada ya kutua katika Uwanja wa
Ndege wa Karume Pemba leo,Rais akiwa kisiwani humo atafungua miradi
mbali mbali ya Maendeleo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa
wakati alipotembelea sehemu mbali mbali baada ya kulifungua jengo la
Mahkama kuu ya Chake chake Pemba leo akiwa katika ziara ya siku tano
kisiwani humo,(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu,(wa pili kushoto) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji
Ussi (wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais,Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kulifungua
jengo la Mahkama kuu ya Chake chake Pemba leo akiwa katika ziara ya siku
tano kisiwani humo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu,(wa pili kushoto) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji
Ussi (wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais,Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kulifungua
jengo la Mahkama kuu ya Chake chake Pemba leo akiwa katika ziara ya siku
tano kisiwani humo,
Baadhi ya wananchi kutoka shehia
mbali mbali katika Wilaya ya Chake chake Pemba wakiwa katika sherehe za
Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake lililofunguliwa leo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akiwa katika ziara ya siku tano kisiwani humo.
Viongozi wa Idara ya Mahakama
wakiwa katika sherehe ya Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake
chake lililofunguliwa leo Chakechake Pemba na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika
ziara ya siku tano kisiwani humo.
Majaji wa Mahkama Kuu na Wananchi
pamoja na Wafanyakazi wa Idara hiyo wakiwa katika sherehe ya Ufunguzi wa
Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake lililofunguliwa leo Chakechake
Pemba na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya siku tano kisiwani humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar
Mhe,Omar Othman Makungu,(kushoto) wakiwa katika sherehe ya Ufunguzi wa
Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake zilizofanyika leo Viwanja vya
Mchezo wa Tenis Chakechake Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake
katika sherehe ya Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake
zilizofanyika leo Viwanja vya Mchezo wa Tenis Chakechake Pemba, [Picha
na Ikulu.] 05 Nov 2016.
EmoticonEmoticon