Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye alipokuwa akitoa
hoja kabla Kamati ya Bunge zima kujadili Muswada wa Sheria ya Huduma za
Habari wa 2016 ambao umepitishwa leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Bunge Andrew Chenge akitoa maelekezo wakati wa mjadala wa Muswada wa
Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 ili mjadala uwe na tija kwa
maendeleo ya tasnia ya habari, wanahabari na taifa kwa ujumla.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Aannastasia Wambura
akichangia hoja juu ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo
mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu
wenye Walemavu Dkt. Possi Abdallah akichangia hoja juu ya Muswada wa
Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Mhe. Saada Mkuya Salum akichangia hoja juu ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Wabunge wakiwa kwenye mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Baadhi
ya Watendaji wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa
pili kushoto) wakifuatilia mjadala wa Wabunge wakati wa Muswada wa
Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Baadhi
ya Watendaji wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa
pili kushoto) wakifuatilia mjadala wa Wabunge wakati wa Muswada wa
Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Baadhi ya wageni wakifuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye (wa nne kushoto)
akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya watendaji wa Wizara hiyo mara
baada ya kupitishwa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo
mjini Dodoma. Wa nne kulia Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole
Gabriel.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma)
EmoticonEmoticon