Walimu
wa Shule ya Msingi Mhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na
meza na wanafunzi wao waliohitimu shule ya msingi mwaka 1988 katika
shule hiyo, wamekabidhiwa Samani hizo leo katika shule hiyo jijini Dar
es Salaam.
Mwalimu
Mkuu wa Shule ya Msingi Mhimbili, Dafrosa Assenga akipeana mkono na
Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, mara baada ya kukabidhiwa kiti na
meza Mpya kutoka kwa wanafunzi walihitimu katika shul;e hiyo Mwaka 1988,
ikiwa ni mchango wao katika kuendeleza elimu katika shule hiyo.Kutoka
kulia ni Mhitimu wa shule ya msingi Mhimbili mwaka 1988 na Mkurugenzi wa
Galaxy Cargo, Jonatha Kasesele, Mwenyekiti wa wahitimu 1988 shule ya
msingi mhimbili,Usia Mkoma
Mwalimu mstaafu katika shule ya msingi Mhimbili wa mwaka 1972-2012, Amani Ndussy na Mwenyekiti wa bodi shule ya msingi Mhimbili, George Ntevi.
Mwalimu mstaafu katika shule ya msingi Mhimbili wa mwaka 1972-2012, Amani Ndussy na Mwenyekiti wa bodi shule ya msingi Mhimbili, George Ntevi.
Mwalimu
mstaafu katika shule ya msingi Mhimbili wa mwaka 1972-2012, Amani
Ndussy akizungumza mara baada ya wanafunzi wa hitimu wa sarasa la saba
mwaka 1988 katika shule hiyo kukabidhi viti vya walimu pamoja na meza,
katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao katika shule hiyo
jijini Dar es Salaam leo.
Mwalimu
wa shule ya msingi Mhimbili wa mwaka 1986 hadi sasa, Marry Massawe
akiwashukuru wanafunzi waliosoma shule hiyo kwa kuikumbuka shule yao.
Wanafunzi
wa shule ya msingi Mhummbili mwaka huu wakiwa wamehudhulia hafra fupi
ya wahitimu wa shule hiyo mwaka 1988 leo jijini Dra es Salaam.
Wanafunzi
wa shule ya msingi Mhimbili wakiimba wimbo kuwashukuru wanafunzi wa
zamani katika shule hiyo kwa kuwakumbuka waalimu wao pamoja na shule
yao.
Baadhi
ya wanafunzi waliomaliza katika shule ya Msingi Mhimbili wakiwa
wamehudhuria hafra fupi pamoja na waalimu wao,katika shule hiyo jijini
Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mhasibu wa wahitimu wa 1988 shule ya Msigi Mhimbili, Ernest Nyambo katikati ni Makamu Mwenyekiti wa bodi shule ya msingi Mhimbili, Jacquline Kaluwa na Mwenyekiti wa wahitimu 1988 shule ya msingi mhimbili,Usia Mkoma wakiwa wameshiriki hafra iliyoandaliwa na wasnafunzi hao katika shule ya msingi Mhimbili jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii
EmoticonEmoticon