ETDCO YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

March 09, 2025

Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) wameshiriki sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa jijini Arusha.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »