Salam Sharaf Meneja wa
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) katika shughuli za
kimataifa akizungumza na waandishi wa habari huku mwaamuziki huyo
mwenye miwani akifuatilia wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari
kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kwa
mchango wao kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika
katika jiji la Durban Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni
mwa wiki iliyopita na kumfanya mwanamuziki huyo alishinda
alishinda katika kipengere cha Mtumbuizaji Bora (Besta Live Act)
katika tuzo hizo za MTV MAMA. Mkutano huo umefanyika kwenye hoteli ya
Tansoma Kariakoo jijini Dar es salaam.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Salam Sharaf Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari huku mwaamuziki huyo mwenye miwani akifuatilia alipozungumza na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika jiji la Durban Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni
Mwanamuziki Nassib Abdull
(Diamond Platnumz) akizungumza na waandishi wa habari huku akiwana
tuzo yake aliyoipata nchini Afrika Kusini.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo kwenye hoteli ya Tansoma jijini Dar es salaam.
Mwanamuziki Nassib Abdull
(Diamond Platnumz) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa
habari huku katika mkutano huo.
Mwanamuziki Nassib Abdull
(Diamond Platnumz) akipozi kwa picha mara baada ya kuzungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo. wa pili kutoka kulia ni
Mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz Bw. Said Fella.
Mwanamuziki Nassib Abdull
(Diamond Platnumz) akipozi kwa picha na mameneja wake mara baada ya
kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo. kulia ni
Bw. Said Fella na kutoka kushoto ni Babu Tale na Sallam Sharaf.
Mwanamuziki Nassib Abdull
(Diamond Platnumz) akipozi kwa picha na mameneja wake mara baada ya
kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo. kulia ni
Bw. Said Fella na kutoka kushoto ni Babu Tale na Sallam Sharaf.
EmoticonEmoticon