|
Mbunge Amina
Mwidau, akihutubia wanannchi wa Wilaya ya Pangani katika ziara yake ya kukagua
miradi ya maendeleo Mkoa wa Tanga.
|
|
Mbunge Mwidau
akiwa na Ofisa Utamaduni na Michezo wa Wilaya ya Pangani, Kemmy Anatory mara
baada ya kuzindua mashindano ya Mwidau CUP.
|
Mbunge Amina
Mwidau, akikabidhi vifaa vya michezo kwa kiongozi wa Timu ya soka ya wanawake
ya Spin Sister, Habiba Hamisi. Timu hiyo ipo Marizala Pongwe jijini Tanga.
EmoticonEmoticon