|
Mbunge Amina
Mwidau akisaini kitabu cha wageni alipotembelea katika ofisi za Chama cha
Waandishi wa Habari Mkoa wa Tanga, kulia ni Mratibu wa chama hicho Neema Hatibu.
|
|
Mbunge Mwidau,
akipata ufafanuzi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa Habari Mkoa
wa Tanga, Hassan Hashimu.
|
EmoticonEmoticon