RAIS DKT.SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA ENTEBBE NCHINI UGANDA KWA AJILI YA ZIARA YA KITAIFA

November 18, 2026

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na Mhe. Deogratius Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuelekea Entebbe nchini Uganda kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa ya siku mbili, tarehe 18 Novemba, 2026.



Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuelekea Entebbe nchini Uganda kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda kwa Ziara ya Kitaifa ya siku mbili, tarehe 18 Novemba, 2026.


Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiangalia kikundi cha ngoma za asili baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda kwa Ziara ya Kitaifa ya siku mbili, tarehe 18 Novemba, 2026.




Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda kwa Ziara ya Kitaifa ya siku mbili, tarehe 18 Novemba, 2026.


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »