
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisalimiana na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini humo kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa amesimama pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, wakati wakipokea heshima ya wimbo wa Taifa wa Tanzania na Uganda baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini humo kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akikagua Gwaride la Heshima baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda, tarehe 18 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini humo kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Uganda uliongozwa na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Entebbe, tarehe 18 Novemba, 2026.

EmoticonEmoticon