WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT.SAMIA KATIKA KUWEKWA WAKFU KWA ASKOFU LUNDU

October 04, 2026

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 4, 2026, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu kwa Kasisi na Canon Charles Mika Lundu kuwa Askofu wa Dayosisi ya Handeni.

Katika ibada hiyo, pia inafanyika hafla ya uzinduzi rasmi wa Dayosisi ya Handeni, iliyotenganishwa na Dayosisi ya Tanga.

Ibada hiyo inafanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Kristu Mfalme, Chanika, Handeni, mkoani Tanga.


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »