LUHAGA MPINA ALIVYOSHIRIKI MAZISHI YA MWADHAMA KARDINALI PENGO

March 01, 2026

Waziri Mkuu Mstaafu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina (baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi )  walipokutana katika mazishi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kituo cha Hija Pugu jijini Dar Es Salaam tarehe 28 Februari 2026
 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Yuda Thadei Ruwaichi akisalimiana na 
Aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo mwaka 2025(baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi), Luhaga Joelson Mpina walipokutana katika mazishi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kituo cha Hija Pugu jijini Dar Es Salaam tarehe 28 Februari 2026
 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande akisalimiana na 
Aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo mwaka 2025,(baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Luhaga Joelson Mpina walipokutana katika mazishi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kituo cha Hija Pugu jijini Dar Es Salaam tarehe 28 Februari 2026

Aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo,(baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi) Luhaga Joelson Mpina pamoja na Maaskofu Katoliki katika mazishi Mwadhama Askofu Mstaafu Polycarp Kardinali Pengo katika Kituo cha Hija Pugu jijini Dar Es Salaam tarehe 28 Februari 2026
Aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo mwaka 2025 (baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi), Luhaga Joelson Mpina pamoja na Mwenyekiti wa Zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia  katika mazishi ya Askofu Mkuu  Mstaafu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kituo cha Hija Pugu jijini Dar Es Salaam tarehe 28 Februari 2026
Aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo mwaka 2025 (baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi), Luhaga Joelson Mpina akisalimiana na Waziri Msaafu wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka mara baada Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumuombea Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini Dar Es Salaam tarehe 27 Februari 2026

Aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo mwaka 2025 (baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi), Luhaga Joelson Mpina akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee  wa CHADEMA, Suzan Lyimo mara baada Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumuombea Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini Dar Es Salaam tarehe 27 Februari 2026

Aliyekuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo mwaka 2025 (baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi), Luhaga Joelson Mpina akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini Dar Es Salaam tarehe 27 Februari 2026



Share this

Related Posts

Previous
Next Post »