![]() |
![]() |
Matukio mbalimbali ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, alipozindua Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari wilayani Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba. Dkt. Kikwete amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa kulinda tunu ya amani na kuwataka Watanzania kuendelea kuzidisha maombi ili changamoto zilizojitokeza mwaka 2025 zisijirudie tena.

Pamoja naye vingozi wengine waliokuwapo ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt.Anna Makakala, Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Hassan Ally Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Kasakazini Pemba Mhe Salama Mbarouk Khatibu, pamoja na wabunge na wawakilishi wa jimbo hilo ambao waliahidi kuendelea kuboresha huduma za askari pamoja na kupeleka huduma kwa wananchi.
Picha na Issa Michuzi

.jpeg)









EmoticonEmoticon