Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ambayo Tanzania imeshinda kuwa eneo bora la Utalii wa Safari Duniani (World’s Leading Safari Destination) kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji, Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 05 Januari, 2026. Tuzo hiyo imetolewa na Taasisi ya World Travel Awards (WTA) yenye Makao Makuu yake Jijini London, Uingereza.
 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamad Hassan Chande mara baada ya kupokea Tuzo 3 za Utalii za “WORLD TRAVEL AWARDS” ambazo Tanzania imeshinda, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Januari, 2026.
.jpeg)
|
EmoticonEmoticon